Joto la kisiasa linaendelea kukighubika chuo cha kiufundi cha Mombasa. Joto hili linawafanya wagombeaji tofauti kuwa na tumbo joto kutokana na hali ya kila mmoja wao kutokuwa na uhakika Wa kuibuka mshindi. Jamii mbalimbali nazo hazijawachwa nyuma. Kila jamii inafanya jitihada kuhakikisha kuwa itakuwa kati ya zile ambazo zitagawanya keki ya ushindi ifikapo tarehe kumi na nane mwezi Wa tatu.
Katika harakati za kuitengeneza mirengo tofauti ya kisiasa, jamii mbili zimeonekana kuwa na ubabe katika swala zima. Jamii hizi ni waluhya na wajaluo. Mrengo Wa Waluhya unaongozwa na Harry Sululu pamoja na Hailstrom Salasia. Upande mwingine, wajaluo wanaonekana kugawanyika katika mirengo miwili,mrengo Wa kwanza ukimpigia upato Jacklinus Otiato na Wa pili ambao unaonekana kuwa na usemi zaidi ukimpigia upato George.
Tunalolisubiri ni utengenezaji Wa mirengo kamili ya kisisasa. Kufikia sasa, mrengo Wa Sululu almaarufu kama "Western Alliance" ama "Team kubwa' umeweza kuwaunganisha wagombeaji tofauti wakiwemo Harry Sululu, George, Birel Clara, Salasia na Koke kutoka Ukunda.
Tunalolisubiri ni kuona ni jamii zipi zitakuwa katika mrengo upi na ni zipi ambazo zitatemwa na mirengo ipi.
Hata hivyo, tuna kila sababu ya kujiuliza maswali mengi iwapo Yale yaliyotokea Jana ni uyabiri Wa Yale yanayokuja. Wasomi walioenda chuoni na kuwa na uwezo Wa kufikiria na akili badala ya kufikiria na mawe wanakikashifu kitendo cha vijana waliotumiwa na Jack Otiato kuuvuruga mkutano Wa wanajamii wenzake.
Hata hivyo, siasa ni kama mshumaa usiokuwa na mkesha. Letu ni jicho tu kuona ni nani ataamua kufikiria na mawe badala ya kufikiria na akili.!!
MSWAZI
Thursday, February 27, 2020
Tuesday, February 25, 2020
THIS MAN SALASIA!!
His political journey plays out to be one of the most unimaginable by many. This man Hailstrom Salasia gained prominence during the R-8's campaigns after he emerged as the only freshman to dare the political heavyweights.
Many have considered him too young too lead them but he defied odds to become the Humanities and Social sciences faculty representative. Hailing from a humble background, he has not let this deter him from serving the comrades.
He is among the only two aspirants endorsed by his community to vie for the top positions in the on-coming TUMSA elections.
From his interaction with comrades, it is evident that he is set to deliver in the sports and entertainment docket just like he has done in other positions.
However, the big question is, will he persevere the storms that accompany the position he is vying for? Only time will tell...
Monday, February 24, 2020
TUMSA ELECTION
They came, we saw them, we accepted some,some we rejected. The battle line for the TUM'S 2020-2021 executive top seats has been drawn. Different individuals have presented themselves as potential contestants. But, will they survive the storm that accompanied the hurricane?
Alliances are yet to be formed and delegates are yet to be officially known. Will the institution experience a new wave of leadership or will it recycle the former ones though with different titles and new ideas?
How organised are the different ethnic groups? Will the lake region again produce the highest number of executive members? How prepared are those from Western, Rift Valley, Central and the Coastarians?
What lies in store for the comrades more so after the parliamentary vetting of the university electoral commission was marred with chaos??
Alliances are yet to be formed and delegates are yet to be officially known. Will the institution experience a new wave of leadership or will it recycle the former ones though with different titles and new ideas?
How organised are the different ethnic groups? Will the lake region again produce the highest number of executive members? How prepared are those from Western, Rift Valley, Central and the Coastarians?
What lies in store for the comrades more so after the parliamentary vetting of the university electoral commission was marred with chaos??
Subscribe to:
Posts (Atom)